2 Corinthians 11:29-30

29 aJe, ni nani aliye mdhaifu, nami nisijisikie mdhaifu? Je, nani aliyekwazwa, nami nisiudhike?

30 bKama ni lazima nijisifu, basi nitajisifia yale mambo yanayoonyesha udhaifu wangu.
Copyright information for SwhKC